Katika hali inayozua mshtuko wa kisiasa, chama cha ODM kimemtema kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, na kumlazimu kutafuta mwelekeo mpya. Hatua hii imeibua mjadala mkali kuhusu mustakabali wa kisiasa wa Kalonzo na uwezekano wa kuungana na upande wa aliye kuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Taarifa hii inakuja wakati siasa za mwaka 2027 zikianza kupamba moto, huku washirika wa Kalonzo wakitafakari hatua inayofuata. Je, atabaki upinzani au ataelekea upande wa serikali? Muda utaonyesha.
Endelea kufuatilia kwa habari zaidi hapa TCD Digitali.
Discover more from The County diary
Subscribe to get the latest posts sent to your email.