Sunday, December 22, 2024
HomeNATIONAL NEWSNimechoka: Why Nairobi Woman is lamenting

Nimechoka: Why Nairobi Woman is lamenting

Nimechoka haki…..how do you deal with a husband mwenye hatoki jikoni….as in ukipika ugali…..anasimama hapo…..ukiosha vyombo anakucheki tu…..ukifua…..anaangalia kila nguo one by one kama imeng’ara….. tissue unahesabu zile tu lines….7 lines zimetosha…..ukienda kusiaga….unafanyia maize winnowing kwanza halafu uanike….ndio akufuate kwa mashin a make sure tena umemwaga kwa ile stand ya wire mesh ndio tena ijisort ndio sasa usiage……

kama ni mboga uoshe kama mara tano akiwa amesimama hapo na umetoa kwa shamba…..mboga huchemshwa kuanzia saa nane hadi six jioni or else hata kula…..Kama ni uji….after imechemka na inafaa ipoe Sasa….anakuambia uache iendelee na kuchemka for the next 1 hour…..chai pia inamaliza 1 extra hour after kuchemka…..

See also  MCA Ndingo Commends Kalonzo Musyoka's Stance and Highlights Achievements in Yatta Kwa Vonza Ward

kama ni nyama inawekwa saa nne asubuhi hadi six eti ndio worms zikufe kabisa… ukipiga dasta…..anaingia na mguu tupu akitafuta kama kuna mchanga imebaki….kama kunayo unarudia…..ughali pia ni 1 hour kwa moto….or else hata kula…..towel ya white anataka usugue mpaka ing’are na sabuni ya kipande na mkono sio brush….jeans pia ni hivo…..na sio eti hana pesa ya omo….anasema omo huaribu nguo…..ako na Nissans kwa barabara ameandika watu so yeye hatoki kwa boma……6 months marriage….what can l do? Nivumilie tu juu ako na pesa ama niende but nitapata mwingine wapi? Nani ashapitia kitu kama hii?

Facebook Comments Box

Discover more from The County diary

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

County Editor
County Editorhttps://thecountydiary.co.ke
The County Diary is your News, Entertainment, Music Fashion website. We provide you with the latest breaking news and videos straight from the entertainment industry.
RELATED ARTICLES

Leave a Reply

- Advertisment -

Most Popular

Recent Comments

Discover more from The County diary

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading